GET /api/v0.1/hansard/entries/1218814/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1218814,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218814/?format=api",
"text_counter": 339,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": "Suala la maji ni tata. Ningependekeza kuwa ule mradi wa Serikali wa kuchimba mabwawa udumishwe zaidi katika sehemu hizi ili mashambulizi yasikuwepo. Inakuwa vigumu ikiwa tuseme ng’ombe wako wameibwa na kesho unawaona wakinyweshwa maji katika bwawa hapo nyumbani. Moja kwa moja hutaweza kuvumilia hata kama uwe mvumilivu wa kiasi gani. Hivyo basi, hali hiyo ya maji pia ichunguzwe."
}