GET /api/v0.1/hansard/entries/1218830/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1218830,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218830/?format=api",
"text_counter": 355,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sotik, UDA",
"speaker_title": "Hon. Francis Sigei",
"speaker": null,
"content": "Ingawa Serikali inaendeleza operesheni kule, ningependa kuyasihi makanisa yashirikiane na Serikali ili tuweze kuleta amani kule. Jambo lingine ni viongozi wa maeneo Bunge husika kuungana pamoja. Wasigawanyike kama viongozi wa sehemu tofauti tofauti kama Pokot ama Marakwet bali waketi chini na wazungumze ili wakubaliane jinsi amani itakavyopatikana. Mhe. Spika wa Muda, ninataka kushukuru sana kwa huu Mjadala. Matumaini yangu ni kuwa hivi karibuni, tuweze kutatua matatizo ya maeneo haya ili tupate amani na wenyeji wawe kama watu wa nchi nyingine. Watu wa maeneo hayo wamekua maskini na wamekuwa"
}