GET /api/v0.1/hansard/entries/1219440/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1219440,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219440/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Ardhilhali hii ambayo imeletwa Seneti na Bw. Philip K.A. Too. Ni jambo la kuhuzunisha sana kuona walimu wetu ambao wanafanya kazi kubwa sana ya kutoa ujinga kwa wanadamu; wanastaafu na hawapati haki yao. Wakati mtu anafanya kazi anatarajia kwamba atakapostaafu atapata marupurupu yake ya kujiendeleza katika maisha ya uzee. Mtu anapofikisha miaka 60 na kustaafu huwa anategemea yale marupurupu yake. Ni ajabu kuona ya kwamba kutoka mwaka wa 1997 mpaka mwaka wa 2007, kuna walimu walistaafu na mpaka sasa hawajalipwa."
}