GET /api/v0.1/hansard/entries/1219442/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1219442,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219442/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika, ninaunga mkono hii ardhilhali ili walimu hao walipwe marupurupu yao. Ningependa pia kugusia swala la madiwani ambao walistaafu. Ilisemekana kuwa watapewa marupurupu yao ili kujiendeleza. Kutoka wakati mjadala huo uliletwa katika Seneti na Sen.Wambua mpaka leo hakuna jambo lolote ambalo limefanyika. Bw. Spika, ninaomba Rais wetu Bw. William Samoei Ruto, pamoja na Cabinet"
}