GET /api/v0.1/hansard/entries/1219549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219549,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219549/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Waliofanya kitendo hicho ni lazima wachukuliwe hatua. Tunategemea hospitali hii kutibu watu wetu wa Pwani. Leo tunasikia jambo hili. Kesho itakuwa ni Msambweni au Kilifi, kesho kutwa iwe ni Taita-Taveta na kesho kutwa Tana River. Bw. Spika, tunawakemea, haswa maofisa waliofanya jambo hilo. Lazima nia yao ijulikane? Ilikuwa ni kuua watoto ICU ama watu wakubwa kwenye theatre? Sisi viongozi katika Seneti hili tunalaani kitendo hicho. Naunga mkono Taarifa ya Sen. Faki. Hatua kali inafaa ichukuliwe kwa Kenya Power. Asante, Bw. Spika."
}