GET /api/v0.1/hansard/entries/1219554/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1219554,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219554/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 380,
        "legal_name": "Shakila Abdalla",
        "slug": "shakila-abdalla"
    },
    "content": "Masikitiko ni kwamba katika kitendo kilichofanyika na Kenya Power, wale waathiriwa ambao ni innocent ndio ambao wataumia. Wale wagonjwa ambao ni waathiriwa wa kitendo hicho ni wagonjwa wenye kufanyiwa dialysis, watoto katika"
}