GET /api/v0.1/hansard/entries/1219568/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219568,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219568/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Mke wako akiwa katika hosptali akifa kwa sababu ya ukosefu wa stima, unaweza kumuoa mwanamke mwingine lakini wa kwanza atakuwa ashakufa. Mume wako akiwa hiyo hospitali akifa, unawezaolewa na mtu mwingine, lakini yule mwingine ashakufa tayari. Bw. Spika, hili swala---"
}