GET /api/v0.1/hansard/entries/1219576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1219576,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219576/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 170,
        "legal_name": "Bonny Khalwale",
        "slug": "bonny-khalwale"
    },
    "content": "Bw. Spika, tunamwelewa Mhe. Mwaruma kama mmoja wa viongozi ambao wamezaliwa katika kabila linaloelewa Kiswahili, the great people ofTaita Taveta County. Ikiwa kweli alimaanisha kwamba unaweza zaa baada ya mtoto wako kufa, atwaambie. Kama alimaanisha kwamba unaweza oa baada ya mke wako kufa, atwaambie. La sivyo, lazima ayaondoe matamshi yake kwa rekodi ya Seneti. La sivyo, atakuwa ameonyesha madharau kwa Katiba yetu na pia umuhimu wa maisha ya binadamu."
}