GET /api/v0.1/hansard/entries/1219582/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219582,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219582/?format=api",
"text_counter": 204,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "kweli. Ukipoteza maisha ya baba yako, huwezi kupata baba mwingine kama yeye. Ukipoteza maisha ya mke wako, hayo maisha ya yule mke wako wa kwanza yamepotea. Unaweza ukoa mwingine, lakini yule wa kwanza, ameenda. Hivyo ndivyo nilivyosema. Ni kauli mbiu kwa sababu ya kutilia mkazo katika kukashifu kitendo cha Kampuni ya Umeme Nchini cha kukata umeme ilihali huduma ya afya katika hospitali, inategemea stima."
}