GET /api/v0.1/hansard/entries/1219591/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219591,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219591/?format=api",
"text_counter": 213,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, vile wasemaji wengine wamesema, Hospitali ya Rufaa ya Mombasa inategemewa na kaunti zote za pwani. Hata kuna wagonjwa wanaotoka nchi za nje kuja kutafuta matibabu katika hospitali hii ya Mombasa. Kwa hivyo, ninaunga mkono. Kamati husika itakapoangalia hii Taarifa, ningependa na mimi nialikwe kama mhusika mkuu kwa sababu watu wangu wa Taita Taveta huenda hopitali hii kwa matibabu. Huenda miongoni mwao kuna watoto wadogo waliozaliwa au wagonjwa walio katika hali mahututi. Wanaweza kupoteza maisha yao kwa sababu ya utepetevu wa utendakazi wa wakurugenzi na wafanyikazi wa kamuni hii."
}