GET /api/v0.1/hansard/entries/1219595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1219595,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219595/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, mwanasheria, Seneta wa Kaunti ya Nandi, alisema maisha huanza wakati wa uzalishaji. Ni vizuri hilo liondolewe katika rekodi zetu. Ninasema hivyo kwa sababu nakala yetu itaonyesha vile na ninajua yeye ni mwanasheria. Anaweza akanukuliwa katika korti ilihali anajua maisha huanza wakati mwanamke amepata mimba."
}