GET /api/v0.1/hansard/entries/1219602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219602/?format=api",
"text_counter": 224,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherarkey",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ninaomba kuchangia. Sijui neno ‘ conception’ linasemwa vipi kwa lugha ya Kiswahili. Mwenzangu anazidi kunipoteza anaposema maisha yanaanza wakati wa kutunga mimba. Nilifikiria yanaanza wakati wa ‘ conception.’ ‘Conception’ inamaanisha wakati mwanamume na mwanamke wanapolala pamoja. Unasemaaje kwa lugha ya Kiswahili kwa sababu mwanamume na mwanamke wanapolala pamoja, basi hapo ndipo maisha yanaanza. Yani ‘ conception’ ama uzalishaji. Ukisema kutunga mimba, unajuaaje kuwa mwanamke ameshika mimba wakati huo. Kuna mchakato ambao unahitajika hapo. Iwapo katika Kiwahili sanifu uzalishaji ina maana tofauti, mimi ninaomba neno la Kiswahili lile ambao lina maana ya ‘ conception.’"
}