GET /api/v0.1/hansard/entries/1219635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1219635,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219635/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "` Sen. Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, ningependa kuwakaribisha MCAs wa Bungoma kwa hiki kikao cha Seneti. Ninawashukuru kwa vile mmekuja kuona ile kazi tunafanya hapa. Hata ukisikia kuna malumbano kidogo, tukiingia kwa hiki kikao huwa tunakuwa kitu kimoja. Pili, kama kuna watu wanafaa waheshimike ni MCAs kule mashinani. Wakati huu katika Kenya kuna janga la njaa. Yule mtu anaumia kabisa ni MCA. Mara nyingi nimekuwa nikienda nyumbani na yale nimekuwa niyaona kule kutoka siku ya Ijumaa"
}