GET /api/v0.1/hansard/entries/1219696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1219696,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219696/?format=api",
    "text_counter": 47,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika. Naungana na wenzangu ili nichangie haya maombi mawili. Mwanzo, ni katika ile hali ya kuweza kujikimu kichakula. Leo, watu wote katika nchi hii ya Kenya wanalia juu ya ongezeko la bei ya chakula. Ni lazima kuwe na uongozi mzuri."
}