GET /api/v0.1/hansard/entries/1220455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220455,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220455/?format=api",
"text_counter": 61,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kinachoshangaza zaidi ni kuwa miaka 60 baada ya kupata Uhuru, tunaathiriwa na ukoloni mamboleo. Mtu yeyote akimuona mzungu anadhani anafaa zaidi. Ukitembea barabarani na mzungu amevaa nguo zisizo za nidhamu unapata wengine wanafuata mtindo huo. Hatujivunii. Tukiwa katika Bunge hili pia tunavaa suti. Mtu akivalia mavazi ya kiafrika anaonekana kama mtu ambaye yuko nyuma, hajifahamu na hajielewi. Mtu huyo anaonekana amepitwa"
}