GET /api/v0.1/hansard/entries/1220456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220456,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220456/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ninapoongea, mimi hutumia lugha ya Kiswahili hapa Seneti. Wengi huniona kana kwamba sijastaarabika. Mimi sijafika kwa sababu sineni kwa lugha ambayo wamefunzwa na ambayo imeathiriwa na ukoloni mambo leo. Baadala ya kuyakunua mashamba yetu kwa kufuata Katiba iliyowekwa na kwa njia sawasawa tunawapatia wageni hawa hadhi ambazo hazifai kwao."
}