GET /api/v0.1/hansard/entries/1220457/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220457,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220457/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ikiwa umepiga foleni pale kwenye benki mzungu atapita na kuhudumiwa na wewe ubaki pale ilhali hii ni nchi yako. Ukienda katika nchi zao wewe utadharauliwa. Watu wengi waliotembea kule wanawezakukueleza Tulienda na Seneta ambaye sitamtaja hapa katika nchi moja ya ughaibuni na tuliokena kama hatufai; yaani tulionekana kama nyani kwa sababu ya rangi ya ngozi zetu. Ni vizuri kamati husika ishugulikie mambo haya kwa undani kabisa na wasiwe na uoga. Hakuna tofauti kati yangu na mzungu."
}