GET /api/v0.1/hansard/entries/1220458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1220458,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220458/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Tofauti iliyoko pengine ni rangi ya ngozi. Wengine wetu wanajaribu kubadilisha rangi zetu ili wafanane wale wazungu kwa sababu hatujiamini. Naomba kamati husika zishugulikie mambo haya kwa undani. Niwasihi watembelee shamba ambazo zimenyakuliwa wafanye uchunguzi kwa undani. Bw. Spika, kwetu Laikipia kuna Wazungu ambao wanasumbua Waafrika. Ninakumbuka muda ulioyopita, nakumbuka kuna Mzungu ambaye alikuwa akiwapiga risasi watu kwa kutembea katika shamba lake. Inaonekana hakuna chochote kimefanywa."
}