GET /api/v0.1/hansard/entries/1220460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1220460,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220460/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Sisi tuko katika nchi yetu ambayo tulipewa na Mungu. Kwa hivyo, tunapaswa kuishi bila kuogopa mtu yeyote kwa sababu hii ni nchi huru. Kwa hivyo, Kamati ya Mashamba na Ukulima na Kamati ya Leba zinafaa kuangalia na kuuliza maswali haya magumu. Kwa mfano, kwa nini sisi hatujiamini kuondoa ukoloni mamboleo na tuweze kujiamini? Mwafrika, Mwingereza, Mhindi au mtu wa rangi yoyote, mbele ya Mwenyezi Mungu, sisi sote ni sawa. Nikikatwa, damu yangu, kama mtu mweusi, ni nyekundu. Damu ya mzungu pia ni nyekundu."
}