GET /api/v0.1/hansard/entries/1220493/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220493,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220493/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Shukran sana, Bw. Spika. Ninashukuru Kiongozi wa Walio Wengi kwa kuleta Petition hii leo. Hii Petition inazungumzia mambo ya zamani. Mimi nimetoka kaunti inayoitwa Marsabit. Zamani tulikuwa tunaita Northern Frontier District (NFD). Tulifungiwa huko kabisa na Wakoloni na tukaitwa marginalized community . Tukapewa jina ambalo ni kama watu disabled . Baada ya kuitwa marginalized community, Serikali ya Kenya ikapata Uhuru na Rais hayati Jomo Kenyatta akaingia mamlakani. Tuliendelea kufungiwa huko NFD na kuitwa marginalized. Serikali ya hayati Rais Moi ikaingia mamlakani bado tukaitwa marginalized . Serikali ya hayati Kibaki ikatuita bado marginalized . Serikali ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta bado ikatuita marginalized . Hadi sasa hiyo marginalization haijaisha. Zamani, mtu kutoka Marsabit hakuruhusiwa kupita hata Isiolo. Ulikuwa unahitaji"
}