GET /api/v0.1/hansard/entries/1220497/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220497,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220497/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": ". Wemekuja na kuchukua ardhi yote. Ardhi kutoka hapa mpaka Nakuru kupitia Nanyuki, Machakos hadi Kajiado, imechukuliwa. Bw. Spika, Warendile ndio wanaoishi Katika eneo Bunge la Laisamis. Malisho ya ngamia, mbuzi na ng’ombe ni kule. Sasa hivi tunavyozungumza, hawa watu wetu"
}