GET /api/v0.1/hansard/entries/1220506/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220506,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220506/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Seki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13598,
"legal_name": "Samuel Seki Kanar",
"slug": "samuel-seki-kanar"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kuchangia ombi hili ambalo linahusiana na mambo ya ardhi. Ninatoka Kaunti ya Kajiado ambapo wakaazi wengi ni wa Kimaasai. Vile tunavyoelewa, ardhi kubwa humu nchini inaweza kuwa na jina kubwa sana la jamii ya Kimaasai."
}