GET /api/v0.1/hansard/entries/1220517/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1220517,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220517/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "wanapitia Kenya hii. Sasa haiwezi kuwa kuna wale ambao uchungu wao unamulikwa na Serikali na wengine ambao machozi yao yanachukuliwa kama ya mamba. Ninaomba Serikali ichukue hatua na kuhakishi Wakenya wote popote walipo---"
}