GET /api/v0.1/hansard/entries/1220556/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1220556,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220556/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. M. Kajwang",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13162,
"legal_name": "Moses Otieno Kajwang'",
"slug": "moses-otieno-kajwang"
},
"content": "Nairobi, alisema kuwa alizaliwa Nairobi. Wiki tatu zilizopita tulikuwa Kisumu na alisema alizaliwa Kisumu. Je, ni nidhamu kweli na tuko na hawa wanafunzi ambao wametoka Kaunti ya Bungoma, ambao wanatarajia kuwa hapa Bunge la Seneti watu wanasema ukweli mtupu? Seneta wa Kaunti ya Nairobi anajifanya kama tikitimaji na kwa wale ambao hawaelewi Kiswahili, tikitimaji ni watermelon. Is it in order, Mr. Speaker, Sir?"
}