GET /api/v0.1/hansard/entries/1220651/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1220651,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220651/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Githuku",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13595,
        "legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
        "slug": "kamau-joseph-githuku"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii niweze pia kuchangia katika mjadala huu ambao umeletwa na Seneta wa Kaunti wa Embu, Sen. Munyi Mundigi kuhusiana na mambo ya umeme. Ningependa kusema kwamba nataka kuunga mkono maneno ambayo amesema ya kwamba ni muhimu sana Kenya Power waweze kujukumika katika mambo ya kuleta umeme katika Jamhuri yetu ya Kenya."
}