GET /api/v0.1/hansard/entries/1221131/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1221131,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221131/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Tungependa kujua Serikali imepeleka magunia ya kutosha? Maeneo ya Trans-Nzoia, Bungoma na Kakamega mvua imeanza na wakulima wameanza kupanda. Iwapo mbolea ni chache, Kamati ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, tutaweka majembe yetu chini ili kuhakikisha kuwa wale ambao wanapaswa kufanya kazi wanaifanya kikamilifu. Ninaunga mkono."
}