GET /api/v0.1/hansard/entries/1221356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221356,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221356/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Haya yote yamesababishwa na Upande wa Upinzani. Mabadiliko yaliyoletwa yawekwe wazi ili mimi kama Kiongozi wa Walio Wachache, niwe na ndugu zangu uongozini. Hivyo ndivyo tutaweza kufanya kazi vizuri kulingana na wajibu wetu."
}