GET /api/v0.1/hansard/entries/1221357/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221357,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221357/?format=api",
    "text_counter": 51,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, unaelewa ya kwamba katika hiyo harakati, tuliambiwa kuna amri. Mimi mwenyewe sikuiona hiyo amri ambayo nilipewa. Hata hivyo, tulikubaliana kwamba kuna amri ambayo ulituambia tungoje hadi hiyo kesi iishe. Bw. Spika, jana alasiri, korti ile ya kuangalia ushaibu wa vyama, - Political"
}