GET /api/v0.1/hansard/entries/1221444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1221444,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221444/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Wakati Agizo lilikuja kwako lilisimamisha hii Seneti kufanya kazi yake. Leo ningependa kujua, kesho mtu mwingine akileta agizo kama lile la kusema Seneti hii isifanye kazi wala kujadili mambo yoyote, tutafanya vile kweli?"
}