GET /api/v0.1/hansard/entries/1221449/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221449,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221449/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Bw. Spika wakati tatizo hili lilitokea, kama Seneta na mzee aliyefanya biashara kwa muda mrefu, niliwatembelea Kiongozi wa Walio Wengi na Kiongozi wa Walio Wachache na kuongea nao. Niliwaeleza kuwa hii nchi inahitaji sisi kama viongozi tufanye kazi. Tulipewa hivi vyeo ili tufanye kazi. Niliwaeleza kuwa wanafaa waketi na waongee ili tuangalie kama tunaweza kutatua hili tatizo. Bw. Spika nilikuja hadi kwenye ofisi yako kuomba hili jambo litatuliwe. Nchi hii ina mambo mengi sana ya kutatuliwa hapa. Kama Mheshimiwa ametoka chama chake na kwenda upande mwingine---"
}