GET /api/v0.1/hansard/entries/1221456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221456/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Ikiwa hujalazimishwa na umetoka ulipokuwa kwa upendo wako na kutangazia Kenya nzima kuwa umehama kile cheo ulichokuwa nacho, achia wengine wapewe pia wafanye mambo yao. Tumepoteza muda na siku nyingi juu ya mambo haya. Haya ni mambo ambayo hayangefaa kuwa katika Seneti. Seneti si nyumba ndogo ambamo watu huongea mambo ya watoto. Hii ni ‘ Upper House.’ Bw. Spika nakuomba kwa niaba ya wananchi wa Kenya, kwa sababu dunia nzima inatazama haya mambo yote yanayoendelea---"
}