GET /api/v0.1/hansard/entries/1221459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221459,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221459/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Bw. Spika, sisi ni watu wazima lakini tunabishana kuhusu mambo ambayo hayafai. Ningependa leo - si kesho - ikiwezekana hata saa hii jambo hili litatuliwe. Wengine wetu wamechoka. Niko na Hoja kuhusu bei ya nguvu za umeme. Wananchi wameshindwa kulipia nguvu za umeme. Baadhi ya Maseneta hawajakuwa wiki mbili sasa. Hatuwezi kuendelea hivi. Tafadhali Bw. Spika, nakusihi kwa niaba ya wananchi na kukuomba kwa kuwa leo uko na uwezo. Usipendelee upande mmoja kwa kuwa wewe ni mwamuzi na unaweza kuamua haki, na hakuna atakaye kulaumu. Usiyafuate mambo ya kesho; yamalize leo ili tuendelee na kazi yetu. Shukran."
}