GET /api/v0.1/hansard/entries/1221513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221513,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221513/?format=api",
    "text_counter": 207,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Naona wametulia kwa sababu wakikutazama uso wako wanajua wamepata kile wanachotaka. Lakini maheremu Kijana Wamalwa alisema, iwapo tunataka kuwa viongozi, lazima wakati mmoja ukubali kwamba unaweza kubali watu wapande kwa mabega yako waafiki malengo ya taifa. Japo mtapata kile mnataka, tafadhali wakati unaokuja, weka Kenya kwanza halafu viti vyenu vya kibinafsi vije baadaye. Asante, Bw. Spika."
}