GET /api/v0.1/hansard/entries/1221539/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221539,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221539/?format=api",
    "text_counter": 233,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, ndio namalizia. Kuna tofauti kati ya ruling ambayo ni hukumu tribunal imetoa na amri ambayo imetolewa kuambatana na hiyo hukumu. Bw. Spika, tumeweza kukukabidhi stakabadhi zote ambazo ni muhimu kuhusiana na swala hili. Tumetoa hukumu iliyosomwa jana na amri iliyoambatana na hukumu hiyo. Kwa hivyo, iliyobakia ni wewe utoe uamuzi wako. Kuna ndugu zetu wengine, kama Sen. Chute kutoka Mandera, ambao wamekuja hapa kufanya kazi. Kwa hivyo---"
}