GET /api/v0.1/hansard/entries/1221564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221564,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221564/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Wangusi anatoka Eneo Bunge la Sirisia. Ana makazi Eneo Bunge la Kimilili na vile vile Eneo Bunge la Kanduyi. Ukienda kule mashinani, wengi walikuwa wanamjua kama Mzee Wangusi kwa sababu alikuwa mpole na mcheshi. Hakuwa mtu wa kujigamba ama kutembea na maafisa wa polisi ili kuwatisha wananchi."
}