GET /api/v0.1/hansard/entries/1221565/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221565,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221565/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Kila mara mwaka ulipoanza na katika hafla za kitaifa, alikuwa anawaalika watu katika makazi yake ili kula na kunywa nao. Watu wetu husema kwamba mkikaa ama kunywa na mtu, si kwamba huna kile anachokupa, lakini mnafurahia gumzo ama mazungumzo nyumbani kwake."
}