GET /api/v0.1/hansard/entries/1221569/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221569,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221569/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Sen. Osotsi amesema kwamba wakati huo kulikuwa na mibabe ama mafidhuli. Kulikuwa na kundi la wanabiashara ambalo lilikuwa limejipanga kuteka nyara nchi hii kupitia teknolojia lakini Bw. Wangusi alisimama kidete. Aliwapa Wakenya nafasi ya kujiandaa kwa mfumo mpya wa mawasiliano."
}