GET /api/v0.1/hansard/entries/1221570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221570/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Vyombo vya mawasiliano vimeenea nchini humu kwa sababu wa uongozi wa Bw. Wangusi. Vile vile, kulikuwa na siasa kati ya kampuni za Safaricom, Airtel na Telkom. Bw. Wangusi alisimama kidete na kusema kuwa kila kiwanda na mwanabiashara lazima atii sheria na kuafiki malengo ya Serikali. Hadi wa leo, vita hivyo vimetulia na kila mtu anatafuta shilingi yake kwa haki."
}