GET /api/v0.1/hansard/entries/1221571/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1221571,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221571/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Sisi kama watu wa Bungoma tumempoteza kiongozi shupavu. Langu ni kurai Serikali kwamba iwapo wafanyakazi wamefanyia kazi kwa muda mrefu na wana tajriba ya juu, si vyema kuwatelekeza na kuwarudisha mashinani ilhali weledi wao, historia yao na kumbukumbu za kazi zinahitajika kwa vizazi vijavyo."
}