GET /api/v0.1/hansard/entries/1221572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221572,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221572/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Kwa familia ambayo naijua binafsi, kwa niaba ya viongozi wa Kaunti ya Bungoma na wananchi wa Kaunti ya Bungoma, tunasema pole. Mungu hupeana na Mungu hutoa. Mimi naamini tutakutana kule Paradiso ambao ni mji wa asali na maziwa. Tutakumbuka umbali tumetoka. Ee Mungu, anapoenda Wangusi, tupe muda zaidi tuishi Kenya hii tunyoroshe mambo ili tutakapokutana na Wangusi tutasema it has been a good journey . Mungu atuneemeshe na tufikie hatima ya mapenzi yake."
}