GET /api/v0.1/hansard/entries/1221667/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1221667,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221667/?format=api",
"text_counter": 361,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ninakumbuka tulipokuwa tukiwasiliana katika ile Kamati, Sen. M. Kajwang’ hakuwepo. Kulingana na vile amesema kwamba, hakujulishwa na Kamati, ninachukua jukumu kama Mwanachama, kumuomba msamaha. Kuomba msamaha haionyeshi unyonge, inaonyesha uongozi. Ni vizuri wakati mwingine sisi kama viongozi kukubali makosa ambayo tumefanya na tuombe msamaha, ndiyo tuweze kuendelea."
}