GET /api/v0.1/hansard/entries/1221684/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221684,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221684/?format=api",
    "text_counter": 378,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, hana uzoefu. Haongei kwa sababu anajua, anafahamu au anazimenya sheria. Debe tupu haliwachi kutiririka, ndiposa sasa unasikia linaendelea kutiririka. Ni vizuri tuseme ukweli. Bw. Spika wa Muda, Sen. M. Kajwang’ ambaye tunamwongelea amenyamaza na kutulia kwa sababu ananielewa. Nikiwa kama Mwanakamati, ninamuomba msamaha kwa sababu hakujulishwa."
}