GET /api/v0.1/hansard/entries/1221693/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1221693,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221693/?format=api",
"text_counter": 387,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika wa Muda, jambo la kwanza, mimi pia ni Member wa hiyo Kamati. Habari hiyo ilipoletwa, mtu wa kwanza kupinga na kusema kwamba hatuwezi kuruhusu kuongelea mwenzetu ambaye ni Seneta ndani ya Kamati, ikiwa tupo na wafanyikazi na watu wengine kutoka sehemu za Kenya. Bw. Spika wa Muda, ni jambo la kusikitisha sana. Seneta wenzangu, Sen. (Dr.) Lelegwe Ltumbesi na Sen. Kinyua walikuwa hapo."
}