GET /api/v0.1/hansard/entries/1221698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221698,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221698/?format=api",
    "text_counter": 392,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Utapata wakati wako. Kuwa na heshima wakati ninapoongea. Bw. Spika, nisikize vizuri. Kanuni zetu za Kudumu No.111(4), inasema kwmaba: “Seneta hatatoa kizingizio kuhusu Seneta mwingine, au Mbunge wa Bunge la Taifa, isipokua kwa hoja hususan ambayo aarifa yake imetolewa angalau siku tatu kabla ya hoja ya kujadili mwenendo wa Mbunge au Seneta huyo”."
}