GET /api/v0.1/hansard/entries/1221788/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1221788,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221788/?format=api",
    "text_counter": 482,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Ahsante Bw. Spika. Ninataka kukubaliana na ndugu yangu, Sen. Cheruiyot alivyosema, mia kwa mia kwamba yuko sawa. Mimi leo, ningependa uwe na moyo mkunjufu, moyo mkubwa, kama Spika wetu. Ninaelewa ya kwamba vile tulivyofanya, yale maneno yote tuliyofanya hapa, si ya usawa kulingana na wewe ukiwa umeketi kwenye Kiti. Ndugu wakiketi ama katika hafla yetu kama hii ya Masenata kuwa katika mjadala, ni lazima pengine tutakosoana kidogo. Kwa hivyo kama yamefanyika, ni bahati mbaya, hatukutarajia kama yatafika hapo. Kwa ndugu zangu, leo tumekosea hii Seneti. Na huo ndio ukweli wa mambo. Sisi zote, upande ule na upande huu, tumekosea. Tumekosa na ni lazima tukubaliane ya kwamba maneno yaliyopelekwa upande ule na upande huu, mengine mimi siwezi kuyatamka. Haya ni kwa sababu ya vile"
}