GET /api/v0.1/hansard/entries/1222842/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222842,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222842/?format=api",
"text_counter": 476,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": "Haya mambo ya mabadiliko ya tabianchi ni mageni kwetu sisi sote. Hakuna mtu ambaye yuko na ujuzi kupita mwingine tukizingatia maswala haya. Naomba kuunga mkono Hoja hii ili tuchukue hatua nyingine na tuweze kuendelea mbele."
}