GET /api/v0.1/hansard/entries/1222862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222862,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222862/?format=api",
"text_counter": 496,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kuchangia Hoja hii. Ripoti hii imezungumzia stakabadhi za Umra, ambazo zote zilikuwa sahihi na halali. Hii ni kwa sababu Umra alipitishwa na IEBC mwezi wa Mei, na stakabadhi zake zote zilikuwa sawa. Haikuwa imepita mwaka, kwani alikuwa amepigania kiti cha ugavana kule Lamu. IEBC ni shirika la Serikali. Itakuwaje IEBC wampitishe halafu Bunge liseme halimpitishi?"
}