GET /api/v0.1/hansard/entries/1222872/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1222872,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222872/?format=api",
    "text_counter": 506,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "watano na watu wengine wamepewa arobaini. Ni mambo haya yanatumika kukandamiza Mbajuni. Kwani sisi hatuna haki? Huyu Umrah ni mmoja tu! Tumepitisha watu wangapi hapa? Mbajuni mmoja ndio mmeona lazima mumkandamize? Si haki! Kamati haiko sawa. Haifai inavyofanya. Nionyesheni document moja ya Umrah ambayo haiko sawa. Mwanzo, alipokwenda Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) aliambiwa hizi"
}