GET /api/v0.1/hansard/entries/1222874/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222874,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222874/?format=api",
"text_counter": 508,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "ndio zinafaa; apeleke hili na lile. Hii ndio maana alitoa mfano kuwa ukienda kuomba passport, utaambiwa uandike reason . Ukiandika sababu ni kuwa unaenda Tanzania, kisha uende huko na uitwe uende taifa lingine, utatumia passport hiyo hiyo. Kama alipitishwa na IEBC, kwa nini hawezi kupitishwa na Bunge na mwaka haujaisha? Documents zote ambazo sisi tulipeana kama wagombea viti bado hazija expire . Wana sababu zao hawa! Hawamtaki tu Umrah. Ninawaambia wanafanya makosa. Waangalie shirika la Safari Doctor na waulize"
}