GET /api/v0.1/hansard/entries/1222876/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1222876,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222876/?format=api",
"text_counter": 510,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "ya Umrah. Nawaambia, Umrah ndiye expert kwa mambo haya. Umrah amevuta pesa nyingi kutoka serikali za nje kuleta huku Kenya, mpaka akapewa tuzo ya UN. Itakuwaje apewe tuzo ya UN kisha hapa sisi tunamkataa? Hiyo ni dhuluma kwa Wabajuni, na haifai. Si sawa. Sisi pia ni Wakenya na tunalipa tax . Mtu mmoja wa Kibajuni katika hawa appointees ndio nyinyi hamumtaki? Imewaingia jichoni. It is not fair!"
}